Kiwanja hiki kipo Babati mjini mkoani Manyara, kilometa mbili na nusu kutoka stendi kubwa ya mkoa. kimepakana na Hospitali ya Wilaya Mrara, Pia kipo karibu na Chuo cha
VETA.
Bei kinauzwa
35,000,000/Milioni thelathini na Tano na mazungumzo yapo.
MAWASILIANO
+255 766 615 913
+255 784 339 782
No comments