AZAM FC WATWAA UBINGWA KOMBE LA MAPINDUZI
Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi Azam FC Usiku wa January 13 2017 walikuwa Zanzibar katika uwanja wa Amaan kutetea taji lao la Mapinduzi Cup kwa kucheza dhidi ya URA ya Uganda.
Azam FC wakiongozwa na kocha wao Cioba wamefanikiwa kutetea taji hilo, licha ya kuwa mchezo ulikuwa mgumu na dakika 90 kumalizika kwa sare tasa ndio muamuzi akaongeza dakika 30 za nyongeza.
Majibu ya kuamua kati ya Azam FC na URA nani atakuwa Bingwa wa Kombe la Mapinduzi 2018, yalijulikana baada ya dakika 120 kumalizika ndio mikwaju ya penati ikaipa Azam FC ushindi kwa penati 4-3, Azam FC sasa wanafanikiwa kutetea taji lao walilotwaa 2017 kwa kuifunga Simba goli 1-0.

Sio kweli kwamba baada ya dakika 120 kumalizika. Baada ya dk 90 walienda moja kwa moja kwenye penati. Viva Azam
ReplyDelete