TANGAZA NASISI

Breaking News

Mungure katoa Somo kwa wanaomuunga mkono Rais Kwa kujiuzulu, Aingia Field Kuchimba Mitaro Ili Kusambaza Maji kwenye Kata ya Kikatiti Meru DC

 Diwani wa Kata ya Kikatiti Mh. Elisa Mungure na M/kiti wa Umoja wa Madiwani Mkoa wa Arusha wakiongoza shughuli za kuchimba Mitaro ya usambazaji Maji kwenye Kitongoji Cha Kikatiti mjini na Vijana.

Mh Diwani amewataka viongozi wote waliochaguliwa na wananchi, wafanye kazi za wananchi waache siasa za kuungana mikono na kupoteza kodi za Wananchi.

Amemaliza kwa kusema hii ni mbinu ya kijinga ya kuwafanya Watanzania Maskini wa kiuchumi na Kimawazo.



Tazama video hapa chini jionee mwenyewe 

No comments