Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini bado amekaliwa kooni kufuatia kashfa za rushwa ambazo zimegubika utawala wake, akitakiwa kuachia madaraka. Katuni ya Said Michael inaleta taswira ifuatayo kuhusu yale yanayoendelea Afrika Kusini.
Umeona Katuni hii ya Rais Zuma akisulubiwa? Chukua Hatua kwa ku Bofya hapa
Reviewed by Press Room
on
14:14
Rating: 5
No comments