LIVE: UNGANA NA MWANAHARAKATI WA MASUALA YA KIJAMII BATULI KISAYA AKIZUNGUMZA KUHUSU MOTHER'S DAY KWENYE 'DRIVE' YA TRIPPLE A FM
Madam Batuli na Mwanaye |
Mwanaharakati wa masuala ya kijamii Na Msemaji wa Kikundi cha FRIENDS OF BATULI Madam Batuli Kisaya leo May 14 Anakualika Kwenye kipindi cha 'DRIVE' Kinachoruka Tripple A Fm 88.5 .
Batuli atazungumzia masuala Kadhaa kuhusu Mama zetu ikizingatiwa jana May 13 ilikuwa Siku maalum kwa ajili ya Mama.
Ungana na Madam Batuli Kwenye 'Drive' ya Tripple A ikiongozwa na Mtangazaji Mahiri Alphonce Kusaga.
No comments