TANGAZA NASISI

Breaking News

RPC wa Arusha Charles Mkumbo Ahamishwa Kituo cha Kazi

Mkuu wa Polisi Mkoa wa Arusha ,(DCP)Charles Mkumbo amehamishwa kituo chake cha kazi nakupelekwa makao makuu ya Jeshi hilo jijini Dar as salaam.ikiwa ni taratibu za kawaida za kijeshi
Nafasi yake imechukuliwa na DCI  Ramadhani Ng'anzianayetokea Mjini Zanzibar ambapo ameteuliwa kuwaMkuu mpya wa Polisi Mkoa wa Arusha
Afande Mkumbo amedumu kwa takribani mwakammoja na nusu katika Mkoa wa Arusha akiwa Mkuu wa Polisi aliyemrithi Liberatus Sabasi ambaye nayealihamishiwa makao makuu ya jeshi hilo.
Mkumbo atakumbukwa kwa uchapakazi wenyeweredi na busara uliowafanya  wakazi wa mkoa waArusha kuishi kwa amani baada ya kufanikiwa  kudhibiti matukio makubwa ya uhalifu ,wananchiwengi wanamlilia .
Mabadiliko hayo pia yamemkumba Polisi HassanNassir aliyepiga marufuku wanaume kukohoa pindiwatakapopishana na wanawake wenye makaliomakubwana kusema watawakamata.RPC huyoametolewa mjini Magharibi kwenda kaskazini Pemba

No comments