Polisi ya Burundi imetishia, japo si moja kwa moja, kuwakamata wale wanaofanya kampeni ya "hapana" dhidi ya kura ya maoni inayobishaniwa ya katiba iliyopangwa kuitishwa mwezi Mei mwaka huu. Kura hiyo ya maoni inaweza kumfungulia milango rais Pierre Nkurunziza kusalia madarakani hadi mwaka 2034.
Polisi Burundi Imetishia kuwakamata wote kwenye mrengo huu..
Reviewed by Press Room
on
06:42
Rating: 5
No comments