Polisi nchini Israel wanataka waziri mkuu Benjamin Netanyahu ashtakiwe lakini mwanasheria wake amesema mapendekezo ya polisi kuhusu mashtaka ya rushwa dhidi ya waziri mkuu huyo hayana msingi. Mwanasheria Amit Hadad amesema tuhuma dhidi ya mteja wake hazina ukweli wowote.
No comments