TANGAZA NASISI

Breaking News

RC MNYETI AFUTA BARAZA LA ARDHI



SeeBait

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti amelivunja baraza la ardhi la Kataya Murray wilayani Mbulu mkoaniManyara  baada ya wananchi kulalamikakunyanyaswakuombwa rushwa nakunyimwa haki zao.
Akizungumza jana Februari 12, 2018 baadaya kulivunja baraza hiloMnyeti amesemahawezi kuliacha liendelee kufanya kazikwenye eneo hilo wakati wananchiwanalalamikia kukosa haki zao.
Amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauriya mji wa Mbulu, Anna Mbogo kuanzamchakato wa kupatikana viongozi wapyawaadilifu wa baraza la kata hiyo iliwaendelee kuwatumikia wananchi.
Amesema mikutano ya wananchikuwachagua wajumbe wengine inatakiwakuanza upya ili nafasi za wajumbe wapyazipatikane na kuhudumia jamii ya eneohilo.
"Tafuteni watu waadilifuwenye weledina hofu ya Mungu ambao wanawezakuwahudumia wananchi ili washike nafasihizo na kutekeleza majukumu yaoipasavyo," amesema Mnyeti.
Amesema kuwa baada ya kuwaondoaviongozi wa baraza hilo linalodaiwakupokea rushwa wananchi waendeshezoezi la kupatikana majina mapya kishayapelekwe kwenye vyombo vyauchunguzi.
Mkazi wa kata ya Murray,  Michael Ammeamelalamikia baraza hilo akidai kuwahalitendi haki na kuwaonea wananchiwanyonge.
Amme amesema kwa muda mrefuwalikuwa wanalalamikia uamuzi wenyeharufu ya rushwa kwa maelezo kuwafamilia yao iliporwa eneo kutokana namaamuzi mabovu ya baraza hilo.
Hata hivyomjumbe wa baraza hilo VeraniAnthony amesema wananchi wa eneo hilowanapaswa kupatiwa elimu juu ya utendaji kazi wao.
Amesema wananchi hao wangepatiwasemina juu ya baraza hilowasingelalamika kwani wao hutekeleza wajibu wao ipasavyo.
Pia, Mnyeti amemuagiza mkuu wa polisi wilaya ya Mbulu, kumkamata Mwenyekiti wa kijiji cha Murray, John Amme kwa kuwanyanyasa wananchi yakiwamo madai ya kuwapiga.
"OCD mkamate huyo mwenyekiti wa kijiji hiki ili akaeleze huko polisi kwa nini amemvunja mkono mwananchi kwa sababu kupiga watu si wajibu wake," alisema Mnyeti.

No comments