TANGAZA NASISI

Breaking News

Ufaransa Kuishambulia Syria?

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema Ufaransa itaanzisha mashambulizi iwapo itathibitika kama serikali ya Syria ilitumia silaha za sumu ambazo zimepigwa marufuku dhidi ya raia wake.

No comments