TANGAZA NASISI

Breaking News

Wazanzibari 40 Wafungua kesi mahakamani kuhoji Uhalali wa Muungano

Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki(EACJ) wakihoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
-
Kesi hiyo imefunguliwa katika Masijala ya Mahakama hiyo iliyoko Dar na Rashid Adiy kwa niaba ya wenzake 39,999
-
Wadaiwa katika kesi hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ), Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

No comments