TANGAZA NASISI

Breaking News

Rais wa Ghana ameagiza Makamu wa rais CAF Akamatwe


Rais wa Ghana Akufo-Addo ameagiza akamatwe makamu wa Rais wa kwanza wa shirikisho la soka Afrika CAF Kwesi Nyantekyiambaye pia ni Rais wa shirikisho la soka la nchini Ghana (GFA).
Akufo amefikia maamuzi ya kutoa agizo hilo kufuatia makala ya uchunguzi iliyofanywa ikimuhusisha Kwesi Nyantekyi kudaiwa kuhusika katika vitendo vya ulaghai.
Maamuzi hayo ya Akufo Addo kutangaza kukamakwa kwa Kwesi Nyantekyiyamewashitua wengi kutokana na mahusiano ya wawili hao ambapo kwa mujibu wa CITI FMya Ghana inaeleza kuwa wana urafiki.

No comments